Friday, December 7, 2012

''MAKALIO YANGU HUWAFANYA WANAUME WENGI WANIZOMEE HASA NIKIVAA TAITI''....NYAKUVANGA WA BONGO MOVIE





Huyu ni msanii wa flam aliyeamua  kuyanadi makalio  yake  katika  mitandao  mbali mbali.......hiyo ni biashara  ya ngono live....!!! 
 ---------------------------------------------------
>>“Nimeyarithi kutoka kwa mama yangu mdogo na tangu nilipokuwa mdogo nilikuwa nimejazia.”



>>“Usumbufu ni mwingi sana hasa nikivaa taiti wanaume wananizomea kila ninakopita hasa Kariakoo huku wengine wakisema Mchina huyooo.”



>>“Natamani sana kupungua ila naogopa watu watasema ninao kwa sababu wameshazoea kuniona mnene.”

No comments:

Post a Comment