Tuesday, January 8, 2013

BAADA YA SUMALEE KUIBIWA GARI LAKE AINA YA LAND CRUISER, KASEMA SASA HIVI HILI GARI NDIO CHAGUO LAKE



Staa Sumalee wa bongo fleva aliibiwa gari lake kama miezi miwili iliyopita ina ya Land Cruiser ambayo anadai gharama yake inakaribia milioni 70, ameongea exclusive na millardayo.com na kuamplfy kwamba kuanzia sasa hivi hatonunua tena magari ya thamani kubwa, mpango wake ni kununua Carina Ti tatu kwa ajili ya shughuli zake na hapo atakua amefunga kazi ya magari.

No comments:

Post a Comment