Tuesday, January 8, 2013

FAHAMU KUHUSU JINA LA ALBUM MPYA NA TAMTHILIA YA KIMAFIA ANAYOIGIZA RICKROSS.


Baada ya kukamilika na kuingia sokoni kwa album yake ya Tano "God Forgives, I Don't," Rick Ross ameanza kujipanga kwa ajili ya album ya sita na tayari ametoa jina la album hio.
Fahamu kuwa Rapper Rick Ross anampango wa kutoa album hii mwaka 2013 na itaitwa Mastermind.
Pia kwenye habari nyingine kuhusu Rickross ,kwa sasa star huyu anashiriki katika tamthilia ya Umafia inayo tengenezwa Mjini Miami, Marekani. Kwenye Tamthilia hii ya Magic City inayo weka wazi matendo ya Mafia yaliyo fanyika Miaka ya 1950, Rozay anaingia kwenye season ya Pili na anavaa husika wa Bolita Boss. Kazi na matendo ya Boss huyu ni Mauwaji na Ujambazi na msemo wake kwenye Tamthilia Hii ni "God is good... Until he ain't,"
Hii Ni Picha Kutoka kwenye Kipande Cha Tamthilia Hio 

No comments:

Post a Comment