Saturday, December 1, 2012

HUYU NDIYE MSANII ANAYEONGOZA KWA KULIPWA PESA NYINGI ZAIDI DUNIANI


DUNIANI MWAKA 2012.

Dr Dre
Rapper na Mtayarishaji wa Mziki `Dr Dre' ametajwa na jarida la Forbes kama Mwanamuziki aliye lipwa zaidi duniani mwaka 2012. Pesa zake zimepatikana kupitia Head Phones na Ear Phones za Beats By Dre na Mikataba tofauti na wasanii kama Eminem,50 Cent na The Game. Mwaka jana Dr Dre alipunguza wasanii kadha kwenye lebel yake kwasababu ya upungufu wa mauzo yao.Busta Rhymes alikuwa moja ya wasanii hao.



1. Dr Dre – $110 Million
2. Roger Waters – $88 Million
3. Elton John – $80 Million
4. U2 – $78 Million
5. Take That – $69 Million
6. Bon Jovi – $60 Million
7. Britney Spears – $58 Million
8. Paul McCartney – $57 Million (tie)
8. Taylor Swift – $57 Million (tie)
10. Justin Bieber – $55 Million (tie)
10. Toby Keith – $55 Million (tie)
12. Rihanna – $53 Million
13. Lady GaGa – $52 Million
14. Foo Fighters – $47 Million
15. Diddy – $45 Million (tie)
15. Katy Perry – $45 Million (tie)
17. Kenny Chesney – $44 Million
18. BeyoncĂ© – $40 Million
19. Red Hot Chili Peppers – $39 Million
20. Jay-Z – $38 Million
21. Coldplay – $37 Million
22. Adele – $35 Million (tie)
22. Kanye West – $35 Million (tie)
24. Michael BublĂ© – $34 Million
25. Sade – $33 Million

No comments:

Post a Comment