Friday, January 4, 2013

MAMBO YA BAIKOKO YAHEEE....: TANGA RAHA SANA::



Pengine baadhi yetu tumewahi kuisikia au kuona mambo ya baikoko. Ni mitindo ya kunengua na kukata mauno kwa wenyenji wa Tanga wanajua zaidi. Hebu cheki mwenyewe ujionee inakuaje hiyo Baikoko!


No comments:

Post a Comment