Saturday, September 7, 2013

HII NDIYO MOJA YA MESEJI YA VITISHO ALIYO TUMIWA NAY WA MITEGO, ADAI KUTUMIWA NA WATU WALIOKUWA KATIKA KAMATI YA MAZISHI YA NGWAIR

Baada ya kuachia wimbo wake wa Salamu zao Nay Wa Mitego amedai kuwa ameanza kupokea vitisho kutoka kwa watu mbali mbali hasa wale waliokuwa kwenye maandalizi ya mazishi ya marehemu Ngwair hayo ameyasema kupitia akaunti yake ya Instagram nay pia amewashauri wale waliojitajilisha kupitia msiba wa ngwair kurudisha pesa hizo kwenye familia ya marehemu ikibidi hata kimya kimya hii ni moja ya meseji aliyotumiwa Nay
pia alimalizia kwa komennti hii “Zipo nyingi zingine za vitisho nitazipost zote watu wangu mjue leo nimeanza na hiyo ..!! ukweli unauma sana cogopi vitisho vyenu ,, Pelekeni hela kwa ndugu wa marehem bado nafasi mnayo ata kimya kimya,, mi nikifa siihitaji kamati za kisenge kwenye msiba wangu,, maana watu wanafanya micba ye2 mitaji yao …!!

HUYU NDiO ALIYE ONGOZA KWA KUVAA VIBAYA SAWA NA UCHI KATIKA UZINDUZI WA MUVI YA LULU

Andika neno kuhusu huyu mwanadada....Je hii ni sawa..?

DUH, HIVI NDIVYO ZA DAZ BABA ALIVYOHARIBIKIWA, YASEMEKANA KESHAANZA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA. SOMA HAPA


MASKINI Daz Baba! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia habari ya kusikitisha ya msanii huyo ambaye jina lake kamili ni David Jacob kunaswa akiwa amezima mjini hapa huku ulevi wa kupindukia ukidaiwa kuwa chanzo.
Daz Baba au Daz Mwalimu asubuhi ya Agosti 5, mwaka huu alinaswa na kamera za gazeti hili akiwa hajitambui kwenye eneo maarufu kwa jina la Itigi lililopo nje ya Stendi ya Mabasi ya Msamvu ikidaiwa kuwa alifika mitaa hiyo tangu usiku wa jana yake.
Awali chanzo chetu cha habari kilitupigia simu na kutueleza juu ya kuzimika kwa msanii huyo aliyekuwa akiunda Kundi la Daz Nundaz Family na baada ya paparazi wetu kufika eneo la tukio ambalo ni maarufu kwa biashara haramu ya ukahaba, lilibaini kuwa ni yeye na wasamaria wema walikuwa wakijaribu kumuamsha bila mafanikio.
“Huyu atakuwa amelewa sana na inawezekana katumia madawa ya kulevya au kawekewa madawa kwenye bia. Dah! Inasikitisha sana kwa msanii kama huyu ambaye huko nyuma alikuwa aking’ara kwenye anga la muziki,” alisikika akisema kijana mmoja aliyekuwa eneo hilo.
Hata hivyo, jitihada za kumuamsha ziligonga ukuta na mpaka paparazi wetu anaondoka eneo la tukio bado msanii huyo alikuwa hajitambui na mfukoni hakuwa na kitu, ikiashiria kuwa wahuni walimkomba kila kitu.

TAZAMA PICHA 15 ZA TIMBWILI LILILOTOKEA JANA SEPT 5 BUNGENI: SUGU KACHOMOKA NA MAIKI YA BUNGE, VIATU VYAMTOKA NA KUTOLEWA PEKUPEKU KAMA KIBAKA:

22

12

14


21

Ni vurugu ambazo zimetajwa kutokea kwa mara ya kwanza kwenye historia ya bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania wakati wa mjadala wa muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba.

23


17
13
14

15

12

16

18
Add caption
24
20

19 
 

HATIMAYE SUGU AJISALIMISHA POLISI, SOMA ALICHOKISEMA MNYIKA HAPA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhjbKabg4ge_bmAeX21edkCXYbIyACwi1biIewVrZx0Lv4B9lrtZGFilqxspszHjePeeYH-iYw-6FjUT9YEGtWnaGDeJcGt6WmUhwwjyemp0WwXZSFc1MCERhXlCTfqnCEONF3a8AfiYuDV/s400/sugu+mjengoni.JPG
BAADA ya Jeshi la Polisi mkoani Dodoma kumsaka kwa siku mbili bila mafanikio mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu (CHADEMA), akidaiwa kumpiga na kumjeruhi mmoja wa askari wa Bunge, hatimaye alijisalimisha mwenyewe jana jioni. 

Taarifa zilizotufikia wakati tunakwenda mitamboni, Sugu alikwenda polisi akiongozana na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, na wabunge Tundu Lissu (Singida Mashariki), John Mnyika (Ubungo) na Joshua Nassari (Arumeru Mashariki). 


Akizungumza na gazeti hili, Mnyika alisema kuwa Sugu hakukamatwa bali alijipeleka mwenyewe polisi kwa hiari yake na kwamba jioni hiyo majira ya saa 1:10 alikuwa akiandikisha maelezo yake.
Wakati Sugu akijisalimisha, wanasheria wa Bunge nao walikuwa wamejifungia kuangalia namna ya kumkabidhi mbunge huyo mikononi mwa sheria. 


Juzi na jana viwanja vya Bunge vilitawaliwa na idadi kubwa ya polisi waliotumwa kumkamata Sugu lakini mpaka Bunge linaahirishwa jioni haikujulikana ni wapi alikokuwa mbunge huyo.
Mbunge huyo juzi baada ya kubebwa mzobemzobe na askari wa Bunge na kisha kutolewa nje ya ukumbi, inadaiwa kuwa alimpiga ngumi mmoja wa askari aliyemtuhumu kuwa alikuwa amempia ngumi wakati wakimtoka nje. 


Askari hao juzi jioni walikuwa kwenye vikundi vikundi nje ya ukumbi wa Pius Msekwa ambako kulikuwa kukifanyika mkutano wa wabunge wa upinzani ambapo Sugu pia alikuwa miongoni mwao.
Kutokamatwa kwa Sugu kumewashangaza wengi waliokuwa karibu na askari hao kwa kuwa alikuwa amekaa jirani nao akizungumza na wenzake kabla ya kuanza kwa kikao chao. 


Tanzania Daima lilidokezwa kuwa askari hao walishindwa kumkamata Sugu kwa kuwa hapakuwepo na amri ya kukamatwa kwake na hata ilipotolewa alikuwa ameshaondoka katika viwanja vya Bunge.
Mpaka Bunge linaahirishwa juzi jioni, idadi kubwa ya askari walikuwa nje ya milango na korido zilipo ofisi za kambi ya upinzani wakimsubiri Sugu bila mafanikio.
Hata hivyo taarifa zinaeleza kuwa miongoni mwa mambo yaliyochangia askari kusuasua kukamatwa kwa Sugu ni kutokana na kinga ya kibunge aliyonayo na pia kosa analotuhumiwa kulifanya alilifanya akiwa kwenye viwanja vya Bunge. 


“Tulipata mtanziko wa kumkamata haraka haraka, ilibidi lazima tuwasiliane na ofisi ya Spika kujua taratibu za kumkamata kiongozi huyo hasa kwa kuwa alifanya kosa hilo akiwa bungeni,” kilisema chanzo kimoja.
Wakati askari wakihaha kumtafuta Sugu, mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka (CCM), jana aliomba mwongozo wa Spika kuhusu tukio la vurugu zilizotokea juzi bungeni hasa tukio la Sugu kumpiga askari.
Sendeka alisema tukio hilo limelidhalilisha Bunge na askari wanaowalinda, hivyo akataka liweke wazi ni hatua gani zitakazochukuliwa dhidi ya mbunge huyo ili kulinda heshima ya chombo hicho.
“Nataka nijue ibara ya 100 ambayo humpa kinga mbunge na uhuru wa mawazo akiwa ndani ya Bunge inatumikaje katika tukio hili? 


“Je, Bunge litalindaje heshima yake dhidi ya tukio hili lililofanywa na mbunge mwenzetu?” alihoji.
Akijibu mwongozo huo, Mwenyekiti wa Bunge, Jenister Mhagama, alisema tukio hilo ni geni hivyo Bunge limeshindwa kutoa jibu la mara moja. 


“Jambo hili halijawahi kutokea katika historia ya Bunge, sasa nami nitalifikisha kwa wanasheria wa Bunge wanishauri namna ya kulishughulikia na baada ya hapo nitatoa mwongozo,” alisema.
Akitoa mwongozo huo muda mfupi kabla ya Bunge kuahirishwa jana jioni, Naibu Spika, Job Ndugai, alisema kuwa bado wanashauriana na wanasheria kuona kanuni zinawaelekezaje.
Alisema kuwa licha ya tukio hilo kutokea katika eneo la Bunge bado kitendo hicho ni cha jinai na hivyo, mtuhumiwa atashughulikiwa kisheria. 


“Ni sawa na jaji yuko mahakamani ambapo kuna kinga kama za Bunge halafu jaji mwenzake ampige ngumi. Huyo lazima achukuliwe hatua hawezi kuachwa. Kinga zetu ziko kwenye uhuru wa mawazo tu,” alisema.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, juzi lilitangaza kumsaka Sugu kwa tuhuma za kufanya vurugu na kumjeruhi askari wa Bunge. 


“Lakini tuna mashaka sana na hatua yake aliyoifanya nje ya ukumbi ambapo alimvamia na kumpiga ngumi nzito Koplo Nikwisa Nkisu ambaye alijeruhiwa jicho,” alisema mmoja wa askari ambaye hakutaka jina lake litajwe.
Ofisa Upelelezi wa Wilaya ya Dodoma ASP Jumanne Kim, juzi jioni alithibitisha kusakwa kwa mbunge huyo aliyeondoka maeneo ya Bunge mchana akiwa ndani ya gari la kiongozi mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe.

JUSTIN BIEBER NA CHRISS BROWN WANAELEKEA KUA WEHU, UMEONA WALICHOKIFANYA? CHEKI HAPA

justin-bieber-chris-brown-spray-paint-half-pipe-instagram-watermark__oPt 
Baada ya kushirikiana kwenye wimbo wa NEXT TO YOU, Justine Bieber aamua kukshirikisha mshkaji wake Chris Brow kwenye sanaa ya uchoraji Graffiti. Chris Brown Alishirikishwa na Justine Bieber  kuchora nusu ya ubao wa pipe kwa ajili ya kuchezea mchezo wa Skateboard na marafiki wawili hao waliamua kupoz na kupiga picha juu ya pipe hio waliochora pamoja na kupost picha hio Instagram

ANGALIA VIDEO MBILI ZA WASICHANA WAKIMWAGA RADHI HADHARANI KWENYE SHEREHE HUKO MANZESE.....HII NI AIBU..

Hii ni video ya watoto wa kitanga wakikatika mauno katika kigodoro hivi karibuni. hii ilikua ni katika sherehe moja hapa uswahilini manzese!!!! 
 
Tahadhali hii ni kwa wakubwa tuuu!