Baada ya kuachia wimbo wake wa Salamu zao Nay Wa Mitego amedai kuwa
ameanza kupokea vitisho kutoka kwa watu mbali mbali hasa wale waliokuwa
kwenye maandalizi ya mazishi ya marehemu Ngwair hayo ameyasema kupitia
akaunti yake ya Instagram
nay pia amewashauri wale waliojitajilisha kupitia msiba wa ngwair
kurudisha pesa hizo kwenye familia ya marehemu ikibidi hata kimya kimya
hii ni moja ya meseji aliyotumiwa Nay
No comments:
Post a Comment