Monday, December 24, 2012

ANGALIA PICHA ZA SHOW YA WEUSI @ MAISHA CLUB

Mwanadada Enika alikuwepo na alifungua show ya Weusi kwa kuimba wimbo wa Tanzania Tanzani. 

Show ilianzishwa na Joh Makini kwa kuimba nyimbo zake kadhaa 

Akafuatia Bonta 

G-Nako & Nikki wa II walifuatia na kulitawala jukwaa 

 Lord Eyez alishangiliwa sawa baada ya kuonekana kwenye steji

No comments:

Post a Comment