BAADA YA KUWAPITIA WENGI BONGO PHD HEMED SASA ATEKWA NA MTOTO WA KINEIGERIA
Msanii wa ‘Going Crazy’ Hemedy Suleiman aka PHD amekiri kupitia mtandao
wa Twitter kuwa anamzimia mwanamuziki wa Nigeria, Tiwa Savage.Kupitia
Twitter Hemedy ameandika, “IN LOVE WITH TIWA SAVAGE……Daaaah.”
No comments:
Post a Comment