Monday, December 24, 2012

HUU DIO UCHAFU UNAOTENDEKA GEST HOUSE..PESA YAGEUZWA LESO...


Ni  vigumu sana kuamini,  lakini hayando mambo yanayotendwa   ndani ya nchi hii....

Pesa imeshushwa thamani  na kugeuzwa  tambara la  kupangusia chafu.......Huku ni kuiabisha  nchi.

Kauli  mbiu  itumikayo  ni  kwamba  "LESO NI DHAHABU  HUKUFAA  WAKATI WA TABU".....

Ndugu  zangu, tujaribu kumuogopa mungu japo kidogo.Kuna watu  wanatabu sana hapa duniani.Ni  bora  kuwasaidia  hao  kuliko  kuichezea  pesa kiasi  hiki

No comments:

Post a Comment