Kilio cha Shilole kilisababishwa na Mtangazaji wa Clouds FM, Adam Mchomvu baada ya kutoa fursa ya kuwakumbuka wasanii maarufu waliotangulia mbele ya haki.
Akiwa jukwaani Mchomvu aliwaomba mashabiki waliojazana ukumbini humo
kunyanyua mikono juu na waliokuwa na simu aliwataka wazinyanyue juu huku
wakiwa wameziwasha ili zitoe mwanga. Mtangazaji huyo alianza kuyataja majina ya mastaa waliofariki mmoja baada ya mwingine, huku watu kibao wakionesha simanzi zao. |
No comments:
Post a Comment