Tumetokelezea
Thursday, December 20, 2012
SHILOLE AFANYA BONGE LA PARTY NDANI YA LEADERS CLUB.
Msanii wa kizazi kipya maarufu kama Shilole,siku ya jana baada ya kutimiza miaka kadhaa aliweza kualika ndugu,jamaa na marafiki mbalimbali kuja ku share birthday yake ambayo ilifanyika katika maeneo ya Leaders Club usiku wa kuamkia leo na hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo zima.
Tumetokelezea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment