Nikki wa pili akitoa burudani kwa mashabiki wa Street Bash waliofika jana ndani ya maisha club..
Burudani mwanzo mwisho
Tumetokelezea
Vijana waliofanya vitu vya ajabu katika street bash iliyofanyika jana.
Ulinzi ulikuwa mkali huku na huku Ma ninja hawaa!!!! wako makini sana.
Ma model walishinda katika Street bash.
Nikki wa Pili mzee wa Bum Kubam
Lugha Kali EMCEE wa show huku kwenye 1 n 2 Dj kelvin
Jambo Squared
Fanya yako!!!!!!!! Swagga going on no sleep.
Shilole
Chegge
Baguje
No comments:
Post a Comment