Sunday, December 2, 2012

WALIO IBA VITU VYA MAREHEMU SHARO MILIONEA WAVIRUDISHA


Watu  wanaosadikiwa kuiba  vitu vya  Marehemu Hussein Mkiety ‘Sharo Millionea’  aliyefariki kwa ajari ya gari katika  kijiji cha songa kibaoni wilayani muheza, wamesalimisha  baadahi ya vitu hivyo kwa  mwenyekiti wa kijiji hicho huku wao wakiendelea  kuishi mafichoni kuogopa  kutiwa mbaron
i

No comments:

Post a Comment