Mwanaume anayejulikana kwa
jina la Peter Rupia amekuwa na tabia chafu ya kuwafanyisha mapenzi wanawake
mithili ya wanyama ndani ya jumba lake la kifahari.......
Chanzo chetu cha habari
kimedai kuwa, nyumba hiyo ya kifahari ipo maeneo ya Mbezi Beach, ambapo
wasichana hualikwa na kunywa pombe baadaye hupigwa picha za utupu.
Mtandao huu umefanikiwa
kupata picha zilizopigwa ndani ya jumba hilo na nyingi zinaonesha watu wakifanya
mapenzi ama mwanaume na mwanamke au mwanamke na mwanamke.
Baadhi ya picha zilizopigwa
katika jumba hilo zinaonesha maadili yasiyofaa kuandikwa , huku baadhi ya
wasichana wakiwa na nguo za ndani tu au kufunga mataulo viunoni, matiti yakiwa
nje.
Picha hizo, zinaonesha
wavulana wakiwa na wasichana ndani ya bwawa la kuogelea huku wengine wakichezewa
kimahaba.
Habari zinadai kuwa ndani
ya jumba hilo sherehe kama hizo zimekuwa zikifanyika mara kwa mara na waalikwa
huambiwa kuwa hiyo ni siku ya kula bata.
Aidha, imeelezwa kuwa
washiriki wote hasa wanawake kila mmoja hupewa shilingi 100,000 baada ya sherehe
na haijulikani picha hizo chafu hupelekwa wapi baada ya shughuli.
Mpekuzi wetu aliyefuatilia
taarifa hizi alifanikiwa kunasa rundo la picha ambazo ni mbaya zinazowaonesha
baadhi ya waalikwa wakisakata dansi wakiwa watupu kama unavyoona hapa
chini.
SHEREHE HIZI HUFANYIKA MARA KWA MARA NDANI YA JUMBA HILO LA AIBU CHANZO
FREEBONGO.BLOGSPOT.COM
No comments:
Post a Comment