Saturday, January 12, 2013

ASKARI ALIYEPIGA PICHA NA GODBLESS LEMA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MINNE JELA


Abubakari Kikulu (29), alipiga picha na mbunge huyo Desemba 23 mwaka jana, baada ya Lema kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara eneo la Mererani, ikiwa ni sehemu ya mikutano aliyoifanya kutokana na Mahakama ya Rufani Tanzania kumrejeshea ubunge wake.

No comments:

Post a Comment