HEMED PHD NDANI YA "TOP 20 COUNTDOWN" YA CHOICE FM LEO JIONI
Kama wewe ni shabiki wa Hemed Phd basi leo hupaswi
kukosa kumsikiliza akitangaza kipindi cha The Countdown cha nyimbo 20 kupitia
Choice Fm ya Dar es Salaam.
Kipindi hicho huruka kuanzia saa tisa mchana
mpaka saa kumi na moja jioni.Choice Fm husikika Dar es Salaam pekee kupitia
102.5 FM na kwa njia ya internet.
No comments:
Post a Comment