Jane 18 has just finished high school and will be joining UoN she wants a rich dude who is willing to pay her half % school fees
|
“Sisi
madiva tuna gharama, NYWELE, zinataka dawa! MASIKIO yanataka,hereni!!
MACHO yanataka wanja na shadow! PUA inatka kipini! MDOMO, unatka
lipstic! USO unataka poda na foundation! SHINGO inataka cheni! MATITI
yanataka sidiria! MIKONO inataka Bangali! VIDOLE vinataka, Pete! KIUNO
kinataka shanga. MA***KO yanataka chupi MIGUU inataka hina rangi na
viatu. KAMA HUNA MKWANJA POLEEEEEEE,” ni baadhi ya status zinazosomeka
kwenye ukurasa uitwao 'Campus Divas For Rich Men’.
Ni ukurasa maarufu sana kwenye Facebook sasa hivi nchini Kenya, ukiwa na likes 34,339.
Ukurasa
huu huonesha picha za wasichana ‘wanaodaiwa kuwa ni wanachuo’
wakijiuza na kutafuta wanaume wenye fedha ili wawatimizie haja zao.
Hata
hivyo kwa uchunguzi uliofanywa na gazeti la Daily Post, umegundua mtu
aliyeufungua ukurasa huo ambao kiukweli picha na majina anayoyaweka
sio vya kweli.
Huyu ndiye aliyeanzisha ukurasa huo |
Mtu
huyo ni mvulana ambaye inasemekana kuwa alikuwa akimpenda msichana
aitwaye Samira Osman lakini alipokataliwa, aliamua kufungua ukurasa huo
kwa hasira.
Mkononi amejichora jina la Samira, msichana aliyemkataa |
Hivi ndivyo anavyoweka picha za wasichana zikiwa na maelezo kuwa wanataka wanaume matajiri huku maelezo akiyaandika mwenyewe.
Candy 20 Kenyatta university wants a rich man who can cater for her needs
|