Friday, January 4, 2013

HIVI NDIVYO MAZISHI YA MPENDWA WETU SAJUKI YALIVYOKUWA


Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kwenye kaburi la marehemu Sajuki wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu-Dar es Salaam adhuhuri ya leo.
Mwili wa marehemu Sajuki ukipelekwa makaburini.



King Kikii Mwana Fa na Profesa J.

Msanii Z Anto akiswali juu ya kaburi la Marehemu Sajuki.

Hapa ndipo alipozikwa Marehemu Sajuki.

No comments:

Post a Comment