HIZI NDIO PICHA ZA KIWANDA CHA CHEMICOTEX-AFRICANA, DAR KILICHOTEKETEA KWA MOTO JIONI YA JANA
Kiwanda cha ChemiCotex kilichopo huko Africana njia ya Tegeta jijini Dar
es Salaam kinawaka moto muda huu, saa kumi na mbili jioni.
Wadau wetu wakiwa katika eneo la tukio wametutumia picha hizi.
No comments:
Post a Comment