![]() |
Tuhuma za baunsa huyo kumlawiti mtoto zinaweza kuwa na picha mbaya kwa msanii huyo kwani watu wamemfahamu bausa huyo kupitia Dully, hivi sasa anatafuta mtu mwingine ambaye anaweza kuchukua nafasi hiyo. |
Monday, January 14, 2013
KAULI YA KWANZA YA DULLY, KUHUSU TUHUMA ZA BAUNSA WAKE KULAWITI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment