KWA MLIOAMINI THIERRY HENRY ANARUDI ARSENAL KWA MKOPO.
.
Kama na wewe uliamini stori
kwamba mchezaji wa zamani wa Arsenal Thierry Henry anarudi tena kucheza
kwa mkopo Arsenal inabidi ulifute hilo wazo manake kocha Arsene Wenger
amethibitisha kauli ya mwisho ya club yake kwamba Henry hatorudi kucheza
tena kwa mkopo.
No comments:
Post a Comment