MUONEKANO WA NJE WA INTERNET CAFE |
Mbunge wa mbeya mjini Mh. Joseph Mbilinyi marufu kama Sungu kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Internet Cafe ya msanii Emmanuel Simwiga anajulikana kama izzo B,iliyoko maeneo ya chuo cha Teku jijini Mbeya.Ikiwa ni kitega uchumi cha pili kwa msanii huyo baada ya kufungua duka la nguo lililopo Mbeya mjini.
Tunakutakia mafanikio mema katika biashara zako.
No comments:
Post a Comment