Friday, January 4, 2013

PICHA 3 ZA RAISI KIKWETE ALIPOHUDHURIA MAZISHIYA MAREHEMU SAJUKI


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baba mzazi wa marehemu Sajuki  wakati wa mazishi ya msanii huyo  leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la marehemu Sadick Juma Kilowoko 'Sajuki' leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye Kaburi la Marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika mchana kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment