KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida wapenzi wa mpira waliofika kuangalia mechi kati ya (Pirates vs Chiefs ) huko nchini Afrika Kusini walipata kuona kioja cha mwaka pale waliposhuhudia Dada mmoja akivua nguo na kubaki na chupi kisha kuanza kucheza mbele ya wanaume bila kuona aibu mbele ya umati wa watu.....
Sakata hilo lilichukua sura mpya baada ya wanaume kutaka kumparamia kwa lengo la kumbaka.
Askari polisi walisaidia kuzima timbwili hilo kwa kumchukua na kumuondoa mwanamke huyo ambaye inasemekana alikuwa amelewa
No comments:
Post a Comment