Nyota wa Pop wa nchini Colombia, Shakira amejifungua mtoto wa kiume jana mjini Barcelona, Hispania.Shakira ametoa taarifa hizo kupitia website yake ambayo iliandikwa kwa Kiingereza, Spanish na Catalán:
“We are happy to announce the birth of Milan Piqué Mebarak, son of Shakira Mebarak and Gerard Piqué, born January 22nd at 9:36pm, in Barcelona, Spain.The name Milan (pronounced MEE-lahn), means dear, loving and gracious in Slavic; in Ancient Roman, eager and laborious; and in Sanskrit, unification.”
Baba wa mtoto huyo ni mchezaji wa FC Barcelona, Gerard Piqué.
No comments:
Post a Comment