Wednesday, February 13, 2013

MSANII WA KUNDI LA WANAUME TMK HALISI AFARIKI DUNIA



Msanii wa kundi la Wanaume Halisi linaloongozwa na Juma Nature , Baraka Masale Sekela aka BK, amefariki dunia leo asubuhi.


Kwa mujibu wa blog ya Sam Misago wa East Africa Radio, taarifa hizo zimetolewa na member wa kundi hilo la TMK Wanaume Halisi, Rich One.

Amesema sababu za kifo cha BK ni matatizo ya tumbo na ini yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi...Amen

No comments:

Post a Comment