PICHA 5 ZA MSANII BUI BUI AKIWA HOSPITAL MUHIMBILI BAADA YA AJALI YA PIKIPIKI
Msanii wa bongo fleva bui bui akiwa hospital muhimbili baada ya kupata
ajali ya pikipiki maeneo ya kinondoni, akiongea na hyperman hk mchana wa
leo bui bui alisema kwasasa anaendelea vizuri tofauti na jana alfajili
alivyoleta eneo hapa kwakeli hali hali ilikuwa mbaya sana anawashukuru
madaktar wa muhimbili kwa kumpokea vizuri pale pindi alipojitambulisha
kuwa yeye ni msanii.
ajali hiyo ilimtokea kwa kugongwa na pikipiki ya mtu aliekuwa akija kwa
kasi sana mpaka kumfata maeneo ya pembezoni mwa barabara, nakupelekea
ajali hiyo mbaya.
hyperman hk alipita mchana wa leo muhimbili kutoa pole na kumfariji bui bui kutokana na matatizo yaliompata.
BUI BUI ameumia sana maeneo ya miguuu yote miwili kwenye mikono na sehemu za kifuani
Zaidi wasamalia wema mnaombwa kwenda kumsaidia hili aweze kupata
matibabu zaidi kwa mana hata pale alipo analala chini amekosa kitanda
amepata godoro. hivyo ingekuwa poa zaidi angepata nafasi nzuri na sehemu
salama hili kupata matibabu ya haraka hili hasije pata na matatizo
mengine kwa kutofanya huduma za haraka
No comments:
Post a Comment