Wednesday, February 20, 2013

RAPPER DMX MBARONI TENA, SOMA KILICHOMPATA



Kwa kipindi chote cha miaka mitatu, Rapa DMX bado anaonekana kuandamwa na matatizo , inawezekana kusema kwamba rapa huyo kutokana na tabia yake imekuwa ni rahisi kwake kukumbwa na matatizo hayo

Hivi karibuni rapa huyo amewekwa mbaroni 'South Carolina' kwa ajili ya kuendesha gari kwa mwendo kasi bila ya kuwa na leseni huku akiwa anavunja sheria za barabarani

No comments:

Post a Comment