SKILIZA ALICHOSEMA WAZIRI WA ULINZI KUHUSU WASANII WANAO VAA SARE ZA JESHI KWENYE KAZI ZAO.
Mara
Nyingi tunaona wasanii wakiwa na Sare za jeshi kwenye kazi zao tofauti
hapa Tanzania. Mfano Kwenye majukwa ya matamasha tofauti na kwenye Video
zao. Kupitia sammisago.com napenda kukufahamisha kuwa Leo Bungeni
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mh.Shamsi Vuai Nahodha
Alisema Ni Marufuku Kwa Wasanii Tanzania Kuvaa Sare zinazo fanana na
sare za Jeshi Kwenye Kazi Zao Na kwa sasa serikali inawasaka watu
wanaofanya vitendo hivyo, Wakikamatwa watachukuliwa hatua za Kisheria .
Msikilize hapa
http://hu.lk/1t4df7ettfhs
No comments:
Post a Comment