Wednesday, December 26, 2012

DR DRE ALIVYO ISIFIA ALBUM MPYA YA GAME.

Rapper Game ameweka wazi message aliyotumiwa na producer Dr Dre kuhusu album yake mpya ya Jesus piece. Fahamu kuwa hii ndio album ya tano ya Game na ya mwisho katika mkataba wake na Interscope Records. Kwenye hii album wameshirikishwa Kanye West , Common ,D'Angelo na Jamie Foxx.

No comments:

Post a Comment