Judge
wa vipaji nchini Marekani Simon Cowell Ameweka wazi mpango wa
kumchukua Rihanna na Chris Brown kwenye show za X Factor
mwakani.Simon anaamini Rihanna na Chris watapamba sana show hizo kama
watakubali ku Judge mashindano hayo sehemu tofauti. Rihanna atafanya
show za Uingereza na Chris Brown atafanya show za Marekani.Chris
Brown ataziba pengo la Judge Reid anaye semekana kumaliza mkataba
wake siku za karibuni. Pia nafasii itawapa wasanii hawa uzoefu zaidi
kwenye kugundua vipaji ili baadae waweze kuja kuwa na wasanii wao kwenye
lebel zao kama Kanye West na Jay z.
No comments:
Post a Comment