#FAHAMU KUHUSU BEEF YA CANNIBAL NA PREZZO.#
Rapper
wa Kundi la MMG `Makini Music Group' Cannibal aliweka wazi weekend hii
kuwa anajitoa MMG kupitia ukurasa wake wa Facebook.Leo mchana kwenye
Power Jams Ya East Africa Radio ,Cannibal amefunguka kuwa habari hizo
sio za kweli na ukurasa wake wa Facebook uliingiliwa na watu na kutumiwa
vibaya.Pia Cannibal alisema bado yupo na Prezzo kwenye MMG.
No comments:
Post a Comment