Thursday, December 6, 2012

EXCLUSIVE;JAY MOE AFANYA COLLABO NA OMMY DIMPOZ.



Jay Moe baada ya kufanya vizuri katika ngoma zake,sasa latest infoz nyingine ambayo nimeipata hii leo ni kwamba jana alikuwa ndani ya Bongo record akifanya ngoma yake nyingine mpya akiwa amefanya collabo na Ommy Dimpozna jina la hiyo inaitwa Only you.Kwa hiyo wale mashabiki wa Jay Moe na Ommy Dimpoz kaeni tayari kwa ujio huu mpya kutoka ndani ya Bong Record.

No comments:

Post a Comment