Message Niliyopokea kutoka kwa rapper Mansuli aka Sinza Star Kuhusu Uzinduzi Wa Album yake mpya Ndio Hii.
Mansuli |
Jumamosi Hii Ya Tarehe 8/12/2012 ni Uzinduzi wa Album yangu ya Kina Kirefu Ikiambatana na Album Nyingine 3 Toka Ndani ya Record Label yetu ya Tamaduni Muzik. Watakaosindikiza ni MCs wa Tamaduni Muzik Kama Nikki Mbishi ,One The Incredible, Stereo ,Nash MC ,P The MC Na wengine wengi.Muda Saa 9 Alasiri. Kiingilio ;5000/= tu Getini.
No comments:
Post a Comment