Wednesday, December 26, 2012

MATOKEO YA DARASA LA 7 NI KITUKO NA NI AIBU KWA TAIFA


 MCHAMBUZI: IMORI MARK
MATOKEO YA DARASA LA 7 NI KITUKO NA NI AIBU KWA TAIFA TOFAUTI NA ILIVYOWAKILIWASHWA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA WAZIRI HUSIKA. 
WAZIRI ALISEMA IDADI YA WALIOENDA SEKONDARI IMEONGEZEKA UKILINGANISHA NA MWAKA JANA LAKANA JE WAJUA UFAULU WAO???
------------------------------------------------------------------

WALIOPATA:
A - 3,087,
B - 40,683,
C - 222,103
CHUKUA A+B+C = 265,873


WALIOCHAGULIWA KWENDA KIDATO CHA KWANZA NI 560,706.

KWA HIYO WATAHINIWA 294,833 WAMECHAGULIWA KUTOKA DARAJA "D".......WAKATI DARAJA LA UFAULU KWENDA SEKONDARI NI KUANZIA "C" ....YAANI ALAMA 101/250.

ZAIDI YA 51% YA WALIOCHAGULIWA NI KUTOKA DARAJA "D" YAAN CHINI YA ALAMA 100/250.

JE, KTK HAWA 294,833 TUTAKOSA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA VIZURI?

No comments:

Post a Comment