Miss Tanzania 2011, Husna Mauldi
(kushoto), akiwa kwenye vazi linalomuonyesha wazi sehemu kubwa ya mwili
wake, Wasiwasi wangu ni kwamba hivi karibuni mrembo huyu alifunga pingu
za maisha tena kwa shangwe na mbwembwe za kumwaga, swali la kujiuliza
pamoja na kulipotiwa mara kwa mara akiwa amepiga picha za utupu
inamaana hajakoma tu?
Husna (wa kwanza kushoto), akiwa kwenye pozi na baadhi ya marafiki zake ndani ya moja ya Hoteli kubwa jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment