Anasema anafanya hivyo kwa sababu mara nyingi makundi ya muziki wa kizazi kipya hayadumu na kundi hilo likipotea ataingia kwenye muziki wa Injili.
Nafanya muziki nikiwa na kundi lengo ni kudumu kwa muda mrefu, lakini kama itatokea kundi langu kuvunjika basi nitaimba nikiwa pekee yangu," anasema.
"Ila ikifikia hatua hiyo sitaimba tena muziki huu wa kidunia, nitamgeukia Mungu kwa kuimba muziki wa Injili kwa sababu nimeokoka,anasema Jini Kabula.
Jini Kabula ambaye ni mzazi mwenzake na mwigizaji Mr. Chuzi, pamoja na kuimba muziki pia ni mwigizaji nyota aliyejichukulia umaarufu katika tamthilia ya Jumba la Dhahabu, pia ameshiriki katika filamu nyingine kadhaa.
No comments:
Post a Comment