David Shahid Rick Rosse wa Bongo.
Rick Rosse wa Bongo.
Kijana wa kitanzania David Shahid
ambae miezi ya hivi karibuni alitokea kujizolea umaarufu kutokana na
kufanana sana sura na mwanamuziki toka Marekani Rick Rosse hivi karibuni
amenusurika kupoteza maisha baada ya kupata ajali mbaya ya gari
alipokuwa kazini.
Rick Rosse amesema kuwa alipata ajali
hiyo alipokuwa kwenye mizunguko yake kazini maeneo ya Kurasini Jijini
Dar ambapo hadi sasa ni wiki ya tatu yupo hoi kitandani kwani amevunjika
mbavu mbili na kujeruhiwa vibaya mgongoni.
No comments:
Post a Comment