Monday, December 24, 2012

SIASA ZINA RAHA ZAKE NA KERO NI BAADA YA MH.SUGU KUPIGWA ''STOP''


 
Mashabiki wa chadema wazuia kabisa sugu asipite na ashuke eneo hilo
Hakika mweshimiwa mbunge wa mbeya mjni Joseph Mbilinyi ameshuka kwa hasira toka katika gari yake ili aongee na wafuasi wa chadema
Baada ya kushuka na kukutana nawafuasi wake wa chadema na kutaka sasa kuongea nao.
Sasa naombeni njia nirudi zangu home kwani nimechoka nimetoka kikaoni wapendwa acheni fujo naombeni niachieni njia niende
Jamaa wamekubali wamemwachia njia ila bado wamedadia gari
Sugu huyooo anaenda zake

No comments:

Post a Comment