![]() |
Wanachuo hao waamua kujipa raha wenyewe baada ya ukimya sana chuoni hapo na kuamua kuchangamsha Hostel kwa kufanya Party ambapo Block M ndiyo Block ya kijanja chuoni hapo. |
![]() |
![]() |
baadhi ya wanachuo wa Udom wakimwangalia mwenzao akikata mauno nnje ya hosteli zao. |
No comments:
Post a Comment