Leo
asubuhi kumetokea hali ya kutokuelewana kati ya kocha Roberto Mancini na
mchezaji toto tundu Mario Balotelli kiasi cha kufikia kushikana mashati
na kutaka kupigana kama isingekuwa kuamuriwa na wachezaji wengine.
Chanzo cha ugomvi wa wawili hao kinasemekana ni rafu ya Balotelli
aliyomchezea mchezaji Scot Sinclair katika mazoezi hayo ya kujiandaa na
mechi ya FA Cup dhidi ya Watford.
No comments:
Post a Comment