HAWA NDIO STARS WENYE WATAZAMAJI WA VIDEO FEKI ZAIDI YOUTUBE.
Kwa
mujibu wa Youtube baadhi ya wasanii wa kubwa wa mziki wa pop wamekuwa
wakipata namba kubwa za watazamaji wa kazi zao kupitia mtandao mkubwa wa
Utube, kitu ambacho ni kawaida mpaka inapojulikana kuwa baadhi ya
watazamaji hao ni feki. Mpaka sasa haijajulikana ni msanii au lebel ya
msanii ndio wanahusika na utapeli huu wa utube ila utube imesema
kumekuwa na watu wanafanya kazi ya kuongeza namba ya watu walio tazama
kazi za wasanii hao. Mfano, Kama
Video imetazamwa mara 2000 ,basi mtu huyo ataongeza watu 7000 kwenye
namba hio ili msanii huyo apate soko zaidi sababu itaonekana anakubalika
zaidi.
Utube
imefuta watazamaji feki Billion 2 kutoka kwenye kazi za wasanii kama
Rihanna, Justin Bieber na wasanii wengine wa Universal Music label
wamepoteza watazamaji Bililion 1. Rita Ora, Alicia Keys, Labrinth na
wasanii wengine chini ya Sony Music label wamepoteza watazamaji Million
850. Michael Jackson nae pia amepoteza watazamaji million 287na Beyonce amepoteza watazamaji million 151.
Utapeli Mpaka Utube.
No comments:
Post a Comment