Tuesday, January 1, 2013

HAYA NDIO MAGARI MANNE ANAYOTEMBELEA MSANII JAGUAR.


Inasemekana ni ngumu sana kupata Picha za mali za msanii Jaguar sababu yeye hupenda kuweka mambo yake siri sana,Mpaka sasa hajaruhusu mtu yoyote apige picha jumba lake jipya lenye thamani ya Million 6 za Kenya.Hii Picha amepiga Jirani yake asubuhi baada ya kuona magari yote anayo miliki Jaguar yamepaki njee ya Nyumba yake.
1. A silver Range Rover Sport (Cost:8million)
2. A black Mercedes E240 (Cost:5million)
3. A beige BMW 5-Series (Cost:5million)
4. A Toyota Mark X (Cost: 2million)
  Jumla Ni 20 Million

No comments:

Post a Comment