Kufuatia vurugu zilizotokea kwenye show yake ya kufunga na kufungua
mwaka iliyofanyika Maisha Club, msanii 1st Grade Bongo Diamond Platinumz
amefunguka na kusema hasara aliyoipata kwenye fujo hizo..
Alisema
amepata hasara ya zaidi ya Milioni 13 kutokana na kuibiwa kwa simu yake
IPHONE5, cheni pamoja na video camera aliyoinunua kwa bei kubwa sana
kwa ajili ya matumizi ya website yake.
Kwa sasa hili sakata lipo polisi na soon tutawajua hao wapenda kuharibu shughuli za watu..
No comments:
Post a Comment