Friday, January 4, 2013

STL WA KENYA KWENYE JUKWA MOJA NA TREY SONGZ.

Msanii kutoka Kenya rapper STL amechaguliwa na Live Nation – Norway kushare stage na kufungua show ya Trey Songs kutoka marekani anaye fanya show kesho mjini Olso Norway.

STL Ni msaani peke atakaye fanya show usiku huo, Kwa STL hii imekuwa heshima kubwa na nafasi yakipeke sana kama alivyo andika kwenye Twitter Page yake.

No comments:

Post a Comment