Friday, January 4, 2013

FAHAMU KUHUSU RAPPER GIGGA FLO WA WAKACHA KUPATA MTOTO NA JINA ALILOMPA.

Hii Ndio Post Ya Rapper Gigga Flo wa Wakacha kuhusu kupata Mtoto wa Kiume, Gigga Flo Amempa Jina la Shad Ibn Saaduni Bin Salehe Sangwa, Shad Ni Jina la Rapper Bow wow Ambaye ni Favorite Rapper wa Gigga Flo,Shad Gregory Moss. Pia Kuhusu kumwita mama wa Mtoto wake my X ,Gigga Flo amesema hawako pamoja kwa sasa so ni X Girl Friend wake.



No comments:

Post a Comment