Mwanafunzi
wa mwaka wa tatu aliekuwa anasoma nurse amekutwa amefariki katika njia
iendayo chuoni hapo, taarifa za awali zinasema kuwa alikuwa anakuja
kujisomea chuoni hapo mida ya usiku, inaonekana alikutana na watu wabaya
wakati anakuja kujisomea na kumbaka maana nguo zake zilikutwa pembeni
ya mwili wake, vilevile mwili wa marehemu huyo ulikuwa umeliwa mnyama
inasemekana fisi. |
No comments:
Post a Comment