Saturday, January 26, 2013

HIVI NDO MADADA WALIVYOHARIBU SHEREHE YA MSANII FLANI MAARUFU KISA TUNGI

MIGUU MIBAYA BADO ANANGANGANIA KUINYESHA

Madada wengine hawana heshima kabisa, we unaalikwa na mtu katika sherehe then unafanya mambo ya ajabu kama hawa wadada chini. wamealikwa then wanaanza kucheza kihasara hasara. Wengine ni watu wazima kabisa lakini walivyovaa kama watoto wa miaka 23. Au kwa vile katika sherehe hii walikuepo watu maarufu wengi? tujiheshimu dada zangu.
HUYU SI MMAMA KABISA HUYU?
HAPO AKISHUSHA UPAKO LOL
DOGO KAJIPATIA LIJIMAMA LA BURE
HAKA KAKIDONDOKA SIJUI KAMLALAMIKIE NANI

No comments:

Post a Comment