BAADA ya tuhuma chafu zinazomkabili baunsa wa msanii
Dully Sykes , anayefahamika kama
Arafat Ngumi Jiwe,
za kumlawiti mtoto, sasa msanii huyo ameamua kuwambia mashabiki wake
kuwa amesitishwa na ishu hiyo kwani alikuwa hajui kama jamaa ana tabia
hiyo chafu hivyo anawasihi watanzania wote kujua kwamba hajui lolote juu
ya hilo na kwa sasa hawezi kuendelea kufanya naye kazi ili kujitoa
kwenye ishu hiyo chafu.
Tuhuma za baunsa huyo kumlawiti mtoto zinaweza kuwa na picha mbaya kwa
msanii huyo kwani watu wamemfahamu bausa huyo kupitia Dully, hivi sasa
anatafuta mtu mwingine ambaye anaweza kuchukua nafasi hiyo.
No comments:
Post a Comment